Acts 15:8-9

8 aMungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupa sisi. 9 bMungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Copyright information for SwhNEN